![]() |
| Prof,Mwandosya akiteta jambo na RC Gama mara baada ya kukutana. |
![]() |
| Prof,Mark Mwandosya akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Makazi ,Angela Kairuki walipokutana katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro akimpatia kipaza sauti Prof Mwandosya asalimie wajumbe waliokuwa katika ukumbi huo. |
![]() |
| Profesa Mwandosya akizungumza katika ukumbi huo. |
![]() |
| Prof Mwandosya akitoka katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaromara bada ya kusalimia. |
![]() |
| Prof,Mwandosya akiagana na mkuu wamkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama mara baada ya kusalimia . |
![]() |
| Prof,Mark Mwandosya akiondoka ukumbini hapo
kuendelea na safari ya kusaka wadhamini mkoani Arusha. Na Dixo Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya Kaskazini. |









No comments:
Post a Comment