Friday, June 19, 2015

January apata wadhamini Tabora, Kwao Tanga Apata Wadhamini wengi Kuliko Mikoa Yote Aliyopita

 January Makama akiweka saini kitabu cha wageni alipotua  mkoani Tabora kusaka wadhamini. Kulia ni mkewe na kushoto ni mmoja wa viongozi wa CCM mkoani humo
 January akilakiwa na wazee wa Tabora 
 January akiongea na wenyeji wake
 Mke wa January akimpigia debe mumewe
 Nyimbo za CCM zikirindima
 January akisanini kitabu cha wageni
 January akisikiliza maelezo toka kwa kiongozi wa CCM 
 Mmoja wa viongozi wa CCM Tabora akiongea
 January akiwa kazungukwa na vijana wa Tabora
 Mkono wa kumuombea heri











 Jana Mh January Makamba alikua katika mkoa wa Tanga alikukulia na Kuzaliwa, Wakazi wengi wa Tanga Walijitokeza Kumpokea kwa Shangwe nyingi.
Mkoa watanga wamejitokeza watu wengi kumdhamini kuliko mikoa yote aliyo pita jumla ya watu 15,043 wamejitokeza.
 January akilakiwa kwa furaha na mmoja wa waze wa Tanga
 Meneja wa Yamoto Band Mkubwa Fella akimnadi January 
 January akifurahia vijana wa Yamoto Band wakitumbuiza
 Sanduku lililojaa fomu za wadhamini likikabidhiwa kwa January
 Mwana FA akimnadi January
  Mwana FA akimnadi January
 Yamoto Band wakiendelea kuwasha moto
 January akishukuru wananchi wa mkoa wa Tanga
 January akionesha mojawapo ya fomu za wadhamini wa mkoa wa Tanga
 Mke wa January akipiga chapuo
 January akiweka saini katika kitabu cha wageni
 January akihutubia wananchi wa mkoa wa Tanga
 Meza kuu
January akimalizia hotuba yake kwa kutoa shukrani kwa wananchi wa Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kumdhamini na kumsikiliza

No comments:

Post a Comment