Friday, June 12, 2015

MAKAMBA: TUEPUKE USHABIKI NA KUCHAFUANA, TUTAUA CHAMA


Mh January Makamba akicheza ngoma pamoja na wanachama wa CCM wilayani Njombe waliojitokeza kumdhamini.
Mh January Makamba na mkewe wakiwasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Njombe  ambapo walipokelewa na wanachama wa CCM aliokuwa na kikundi cha ngoma.
Mh January Makamba na mkewe wakisalimana na baadhi ya wanachama wa CCM katika ukumbi mdogo wa CCM mkoani Njombe.
Mh January Makamba akiwaka sahihi katika kitabu cha wageni katika ofisi za CCM mkoa wa Njombe.
Mh January Makamba akipokea fomu yenye majina ya wanachama wa CCM wa Njombe waliomdhamini kutoka kwa katibu wa CCM moa wa Njombe, ndugu Mponzi. idadi ya wanachama waliojitokeza kuweka sahihi ya kumdhamini ni 72.
Mh January Makamba akizungumza na wanachama wa CCM waliojitokeza katika Ukumbi mdogo wa CCM mkoa wa njombe. January amepata idadi ya sahihi 72 za wanachama waliojitokeza kumdhani kumwezesha kupitishwa na kupewa ridhaa ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Katibu wa CCM mkoa wa Njombe akizungumza na wanaCCM wa Njombe kabla ya kumkaribisha Mh January Makamba kuzungumza na wanachama wa CCM wa Njombe. ambapo amepata idadi ya sahihi 72 za wanachama waliojitokeza kumdhani kumwezesha kupitishwa na kupewa ridhaa ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mh January Makamba akimsikiliza kwa makini katibu wa CCM mkoa wa Njombe, ngugu Mponzi walipofanya mazungumzo mafupi ofisini kwa katibu huyo. mara baada ya kupokea fomu zenye sahihi za wanachama wa CCM waliomdhamini. January amepata idadi ya sahihi 72 za wanachama waliojitokeza kumdhani kumwezesha kupitishwa na kupewa ridhaa ya kugombea nafasi ya urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Picha Zote na Mpigapicha Wetu.

No comments:

Post a Comment