Saturday, June 27, 2015

HARAKATI ZA NYALANDU KUSAKA ADHAMNI JIJINI ARUSHA LEO

 WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, na mkewe Faraja, wakilakiwa na mamia ya wanachama wakati wakiwasili kwenye Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Arusha, kuomba udhamini kwa wanachama wenzake. Nyalandu anawania kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye nafasi ya urais.








No comments:

Post a Comment