Friday, June 19, 2015

Dkt Asha-Rose Migiro apata wadhamini mkoani Kigoma leo

 Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro akiwasili katika ofisi za CCM mkoa wa Kigoma kupata wadhamini kwa ajili ya kugombea Urais leo
 Dkt Migiro akilakiwa kwa shangwe na wana CCM wa Kigoma

Katibu wa ccm wilaya ya Kigoma Novati Kibadi akimkabithi form Mhe.Migiro zenye majina 45 alizodhaminiwa na wakazi wa kigoma
Baadhi ya wanachama wa CCM waliojitokeza kumdhamini Dkt. Migiro wakiwa katika ukumbi wa mikutano wa ccm mkoa wa Kigoma wakimsikiliza mgeni wao
Mhe Migiro akishukuru baada ya kukabithiwa fomu za wadhamini. Chini akishiriki kuimba na meza kuu baada ya kukabidhiwa fomu za wadhamini
Mhe. Migiro akiongea na wana habari baada ya zoezi la kukabidhiwa majina ya wadhamini katika ofisi za CCM mkoa wa Kigoma

No comments:

Post a Comment