Tuesday, June 16, 2015

MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA WAELIMISHA JUU YA VIPODOZI VYENYE SUMU JIJINI DAR LEO.

 Kaimu Meneja  wa mawasiliano na Uhusiano  wa Umma,Gaudensia Simwanza, akitoa akielimisha wananchi  juu ya bidhaa zilizopigwa marufuku na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA),kama vile vipodozi  vyenye viambata vyenye sumu na vyenye madhara kwa wananchi. Kushoto ni Kaimu Meneja Usajili wa vipodozi na dawa Nyongeza, Grace Shimwela katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jiji Dar es Salaam leo.
  Kaimu Meneja usajili wa vipodozi na dawa Nyongeza,Grace Shimwela  akimuonyesha mwananchi vile vipodozi  vyenye viambata vyenye sumu na vyenye madhara kwa wananchi  leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja Jiji Dar Es Salaam.
(Picha na emmenuel massaka,globu ya jamii.)

No comments:

Post a Comment