Monday, June 15, 2015

M/KITI WA KAMATI YA MAHUSIANO YA JAMII UVCCM JUMA MHINA AZINDUA BARAZA LA WAZAZI KAWE

 Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa baraza la wazazi wa jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam wimshoni mwa juma. Kushoto ni Mjumbe wa Halmashauri kuu jimbo la kawe Ramadhan Ndanga (POTIPOTI).
 Mjumbe wa Halmashauri kuu jimbo la Kawe (CCM)Ramadhan Ndanga (POTIPOTI) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa baraza la wazazi wa Jimbo la Kawe kuhusiana na wananchi kujitokeza katika kujiandikisha daftari la kudumu la wapigakura katika mkutano uliofanyika katika ofisi za CCMUkwamani Jimbo la kawe jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI)wakiteta jambo katika mkutano wa kufungua baraza la wazani wa jimbo la Kawe na Mwenyekiti wa Baraza la wazazi kata ya Kawe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma.
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria katika mkutano wa Baraza la wafanyakazi lililozinduliwa na Mwenyekiti wa kamati ya mahusiano ya jamii UVCCM Dar es Salaam kamanda mstaafu wilaya ya Kinondoni Wakili Juma Mhina(PIJEI) katika jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment