Thursday, June 11, 2015

LOWASSA ATIKISA SHINYANGA, WANA CCM ZAIDI YA 7000 WAMDHANI

 Basi lililopambwa na picha za Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, likiwa katika msafara wa magari baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Shinyanga jana kwa ajili kutafuta wanachama wa CCM kumdhani  kugombea urais.
 Vijana wa CCM wa  4UMovement wakiongoza gari la Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa,baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya CCM Mkoa wa Shinyanga jana kutafuta wanachama wa CCM kumdhani  kugombea urais ambapo wanachama zaidi ya 7000 wamemdhamini.
 Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa,akimsalimia Mtoto mwenye Ulemavu wa ngozi(Albno)Kabula Zakaria,wa Kituo cha Watoto wenye Ulemavu Buhangija Jumuishi katika Ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoa Shinyanga alipoenda .kukutana na wanachama zaidi ya 7000 waliomdhni kugombea Urais.Kulia ni Mwalimu wao, Loyce Daudi.
  Wanachama wa CCM wakimshangilia, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya CCM mkoa wa Shinyanga jana kwa ajili kutafuta wanachama wa CCM kumdhani  kugombea urais ambapo wanachama zaidi ya 7000 wamemdhamini. 
Mwenyekiti wa CCM Mkao wa Shinyanya Hamis Mgeja, akizungumza jana katika mkutano wa wanachama wa chama hicho zaidi ya 7000 waliomdhamini, Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa kugombea urais mkoani humo.

No comments:

Post a Comment