Saturday, September 12, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI USIKU HUU

Mtando wa haki za binadamu pamoja na waharakati mbalimbali wafungua kesi ya kikatiba kupinga baadhi ya vipengele vya sheria ya makosa ya mtandaohttps://youtu.be/8BmxxpgPmEA

Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, yawafikisha vijana wawili mahakama ya kisutu jijini Dar es salaam kwa makosa ya uhalifu wa kimtandaohttps://youtu.be/CPupB76lEsA

Mgombea uraisi wa chama cha ACT  Wazalendo awaasa wagombea wenzake kuacha vijembe na kushutumiana na badala yake wajikite kunadi sera.https://youtu.be/piPuQNa1jpg

Raisi Kikwete ataembelea mahakama ya Afrika iliyoko jijini Arusha huku akiwaasa viongozi wa Afrika kuipa Mahakama hiyo Mamlaka kamili.https://youtu.be/fpueMGvuQWw

Watoto wenye maradhi ya ugonjwa wa Saratani wanaopatiwa matibabu hospitali ya taifa Muhimbili wapatiwa msaa na Vodacom Foundation.https://youtu.be/HoxL4dFceOY

Polisi mkoani Geita inamshikilia mgangawa kienyeji kwa tuhuma za kuwapa wateja wake dawa yenye sumu huku 1 akifariki na wengine kulazwahttps://youtu.be/M2wyDHLl3b4

Aliyekuwa mbunge wa Ubungo John Mnyika awataka waangalizi wa uchaguzi mwaka huu kuondoa shaka na kufanya kazi zao kwa uhuru. https://youtu.be/nez73xjrUdY

Serikali ya toa msaada wa dola milioni 4 kama msaada wa mahakama ya Afrika ya haki za binadamu iliyoko mkoani Arusha. https://youtu.be/VDdL81VTfkM

Mgombea uraisi wa Chadema Edward Lowassa ahaidi kutekeleza ilani ya uchaguzi ya chama chake akichaguliwa kuwa raisi. https://youtu.be/rmPoZmwW61g

Mgombea uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli ahaidi kufufua uchumi wa mkoa wa Mara huku akisisitiza maendeleo ya uhakikahttps://youtu.be/rLi8TVpk2AU

Mgombea Mwenza wa uraisi kupitia Chadema Juma Duni ahaidi kuboresha huduma za afya kwenye hospitali teule kwenye wilaya ya Iringa. https://youtu.be/BBm0vuvMxVU

Katibu mkuuwa chadema John Mnyika atoa rai kwa NEC kuruhusu waangalizi wa ndani wa kutosha ili kuboresha usismamizi wa zoezi hilo. https://youtu.be/lwSr7RHVxO8

Mgombea Mwenza wa CCM Bi,Samia Suluhu atangaza neema kwa vijana baada ya kuhaidi kutoa asilimia  30 ya zabuni kwa kampuni za vijana.https://youtu.be/TiKPbetVedI

Mgombea uraisi kupitia CCM Dr.Magufuli ahaidi kuboresha mfumo mzima wa sekta ya madini ili ulete tija kwa watanzania ikiwemo ajirahttps://youtu.be/Tngdq_djA90

Baadhi ya wakazi wa kata ya Kayenze wadai watampigia kura kiongozi yeyete mwenye uwezo wa kutatua matatizo yao ikiwemo maji.https://youtu.be/kkZt4PwOW0Y

Mfuko wa uwekezaji nchini umefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 240 katika kipindi cha miaka 10 huku wananchi wengi wakiwa hawatambui umuhimu wa mfuko huo. https://youtu.be/JZqBivHNGBE

Mkuu wa majeshi ya Burundi anusurika kuuwawa wakati akielekea kazini baada ya watu wenye silaha kufanya shambulio la kushitukiza. https://youtu.be/J8yl27LEL9E

Kamati ya amani ya mkoa wa Dar es salaam yawataka wananchi kushirikiana na viongozi mbalimbali ili kuepusha vitendo mbalimbali vya uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.

Idara ya majanga na maafa ya ofisi ya waziri mkuu yakiri uwepo wa uhaba wa fedha kuendesha kitengo hicho. https://youtu.be/6Cq2ZoBngAc

No comments:

Post a Comment