Umati wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika
uwanja wa Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu.
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea
mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale. |
AKIZUNGUMZA
na wananchi katika mikutano hiyo mgombea mwenza Bi. Samia Suluhu
alisema licha ya ilaya ya Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuonesha
kulenga kuboresha maisha ya wananchi haswa akinamama na vijana kupitia
vikundi anuai, alisema Serikali itakayoundwa na CCM endapo ikifanikiwa
kurudi madarakani itahakikisha inaweka utaratibu wa kupima ardhi na
kuigawa kwa wananchi ili kuwaandalia hati za kawaida na zile za kimila
kwa vijijini.
Alisema utaratibu huu utawawezesha wananchi kuwa na dhamana katika
mikopo na kuweza kujiendeleza kwa shughuli zao za kiuchumi. Aliongeza
licha ya zoezi la upimaji na utoaji hati kuwa na manufaa kwa wananchi
aliongeza kuwa litapunguza migogoro ya ardhi kati ya pande anuai na
matumizi tofauti jambo ambalo lilikuwa kikwazo hapo awali.
"...Tutapima maeneo na kutoa hati za kimila na Serikali ili wananchi
waweze kutumia kama dhamana katika mikopo, hizi zitasaidia wananchi
kupata fedha za kujiendeleza," alisema. Akizungumzia soko la korosho
alisema Serikali imekisikia kilio cha wananchi juu ya utaratibu wa
stakabadhi ghalani hivyo kuwaahidi kulifanyia kazi suala hilo.
Mambo mengine ambayo Bi. Samia Suluhu aliahidi kuyashughulikia ni pamoja
na huduma za maji safi na salama kuzijenga barabara za kuingia na
kutoka katika Wilaya hizo za Nachingwea na Liwale kwa kiwango cha lami
kwa awamu na kuboresha elimu.
Bi. Samia anaendelea na ziara yake katika Mkoa wa Lindi na anatarajia
kuanza ziara hiyo mkoa wa Mtwara leo jioni, kuendelea kuinadi ilani ya
Chama Cha Mapinduzi.
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea
mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale. |
|
Sehemu
ya wanaCCM na wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea
mwenza nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale. |
|
Mgombea
mwenza wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia
Suluhu akihutubia kwenye Uwanja wa Nangwanda Jimbo la Liwale jana. |

Umati
wa wanaCCM na wapenzi wa chama hicho ukiwa umefurika katika uwanja wa
Sabasaba Mjini Nachingwea kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa
Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu. |

Mgombea ubungea wa Jimbo la Nachingwea akizungumza na wanaCCM na wananchi wengine katika uwanja huo. |
|
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza katika mkutano wa kampeni jana. |
|
Meza
kuu ya mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM mjini Nachingwea.
Kulia ni mgombea wa ubunge Jimbo la Nachingwea Hassan Elias Masala
akiwa na mgombea mwenza.
*Imeandaliwa na www.thehabari.com |
No comments:
Post a Comment