Picha na Sanga Festo Jr.
Hivyo Uchaguzi huu ni DILI vs KAZI,Hivyo kazi mbayo ni J.Pombe Magufuli itashinda kwa kishindo.
Furaha"
Mbali na hilo Nchimbi amewaomba Wananchi kufanya siasa za kistaarabu na kujitokeza kwa wingi siku ya Tar.25.10.2015 kwenye vituo vya kupiga kura wakiwa na vitambulisho vyao.
Wananchi wakifuatilia Mkutano
Mwigulu,Nchimbi na Bashe wakisuka Mkakati wa kuhamasisha Wananchi kujitokeza kuipigia Kura CCM siku ya Uchaguzi.
Comrade Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba wakimnadi Mbunge mtarajiwa wa Nzega ndg Bashe kwa Wananzega.
Wananchi wa Kata ya Ndala Jimbo la Nzega Vijijini wakiwa wamembeba Mbunge wao mtarajiwa Ndg.Hamis Kigwangala hii leo mara baada ya Mkutano wa kuomba kura kwa wananchi ili aweze kushinda nafasi ya Ubunge kwenye Uchaguzi mkuu wa tar 25/10/2015.
KIgwangala akiomba Kura kwa Wananchi wa kata ya Ndala.
Mwigulu Nchemba na Hamis Kigwangalla wakiagana na Wananchi wa kata ya ndala mara baada ya Mkutano wa kampeni wa chama cha Mapinduzi jimbo la Nzega Vijijini.
Wananchi wa kata ya shimbo wakifuatilia Mkutano wa Chama cha Mapinduzi wa kampeni za Ubunge wa Mh.Kigwangalla hii leo kwenye Kata ya Shimbo.
Wananchi wa kata ya Shimbo wakionesha Ishara ya kuwa KURA zao zote ni kwa J.Pombe Magufuli,Ubunge kwa Kigwangalla na Madiwani wa CCM kwa jimbo la Nzega Vijijini.
Mwigulu Nchemba akizungumza na Wananchi wa Kata ya shimbo juu ya Umuhimu wa Kuichagua CCM kwa maendeleo ya Nzega na Jimbo jirani jipya la Igunga Kusini.
Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo wakionesha Uimara wao wa kiafya "Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up"
Sehemu ya Maelfu ya Wananchi waliofika kwenye mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za Ubunge jimbo la Nzega Mjini hii leo.
No comments:
Post a Comment