Wednesday, July 22, 2015

Wagombea Ubunge na Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni na Iringa Zanzibar Wajinadi kwa Wananchi kuomba Kura

Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mjini Ndg Juma Fakhi Chum akifungua mkutano wa Kampeni ya Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani Jimbo la Kikwajuni Zanzibar katika Tawi la CCM Majumba ya Mjeru kikwajuni. 
Mwenyekiti wa Mkutano wa Kampeni Mussa Rajab akiongozi mkutano huo wa wagombea katika Tawi la CCM kikwajuni kwa mjeru.
Wananchi wa kikwajuni wakiwasilikiza wagombea wao wakati wakijinadi katika Tawi la CCM kikwajuni
Wagombea Uwakilishi na Ubunge wakiwa katika tawi la CCM Kikwajuni wakiwa katika mkutano wa kampeni ya kuwania Ubunge na Uwakilishi wakijinadi kwa Wananchi wa Tawi la Kikwajuni kwa Mjeru

Mgombea Uwakilishi katika Jimbom la Kikwajuni Saleh Ali Abdalla akitangaza sera zake endapo atachaguliwa wakati ukampeni hiyo 
Mgombea Ubungeb Jimbo la Kikwajuni Ndg Abbulkarim Abrazak Mukrim akijinadi kwa  Wananchi waliofika kuwasikiliza wakati wa kampeni ya kuwania kuchaguliwa kuwakilisha Jimbo hilo 
Wazee wa Kikwajuni wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Wagombea Ubunge na Uwakilishi na Udiwani katika Jimbo la Kikwajuni Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Mahmuod Mohammed Mussa akitetea Kiti chake cha Uwakilishi katika mkutano wa kampeni ya kuwania tena Kiti hicho
Mwanamke pekee aliyejitokeza kugombea Ubunge katika Jimbo la Kikwajuni Nuru Mohammed Ahmeid akitowa sera zake wakati wa kampeni hiyo kwa wananchi wa Tawi la CCM kikwajuni kwa mjeru. 
Mgombea Ubunge Ndg Mohammed Ali Ahmeid akitangaza sera kwa mara ya pili kugombea nafasi hiyo uchaguzi uliopita kura zake hazijatosha amejitokeza tena kuomba ridhaa za Wananchi wa Kikkwajuni kugombea nafasi hiyo 
Kocha Msoma akiwa katika hali ya utulivu akifuatilia sera za Wagombea wa Uwakilishi na Ubunge katika Jimbo la Kikwajuni wakati wa kampeni za kuwania nafasi hiyo uliofanyika katika tawi la CCM Kwamjeru kikwajuni. 
Aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo Mhe Nassor Salum Jazira akiwania nafasi ya Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni baada jimbo lake kuunganishwa na kikwajuni kuwa Jimbo moja akiomba ridhaa za Wananchi wa kikwajuni kumpa kura.
Mwananchi wa kikwajuni akimuulizac swali kuhusiana na timu ya kutembe kushindwa kuwalipia faini ya shilingi milioni moja ZFA, Na kujibu timu hiyo yeye ndiyev aliyeipandisha kwa kununua daraja na yeye ni mlezi wa timu za jimbo hilo wakati huo.  
Mgombea Ubunge Ndg Mussa Shaal Chum akitangaza sera kwa kuwakomboa Vijana na kuwatetea kupata ajira na kuweza kupitisha miswada ya Sheria kwa umakini kutokana na yeye ni mwanasheria akitowa sera hizio wakati wa mkutano wa kampeni. kuwania nafasi hiyo
Mgombea nafasi ya Uwakilishi katika Jimbo la Kikwajuni Ndg Said Shaban Said, akijinadi katika mkutano huo wa kampeni ya kuwania nafasi hiyo katika jimbo la kikwajuni Zanzibar 
Mwananchi wa kikwajuni akimuuliza suala kuhusiana na kujipanga vipi kuliongoza jimbo hilo endapo atapata ridhaa za wananchi
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Eng Hamad Yussuf Masauni, akimwa sera zake wakati akitetea nafasi yake ya Ubunge wakati wa mkutano wa kampeni katika tawi la CCM Kikwajuni kwa mjeru wakati wa zoezi la kampeni likiendelea katika jimbo hilo. 
Wazee wa Kikwajuni wakifuatilia mkutano wa kampeni ya Wagombea Ubunge na Uwakilishi na Udiwani katika Jimbo la Kikwajuni Zanzibar.
Wananchi wakifuatilia kampeni hizo za uchaguzi wa Udiwani Ubunge na Uwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar, uliofanyika katika Tawi la CCM Kikwajuni kwa Mjeru.
Wagombea wa Ubunge Uwakilishi na Udiwani wakisoma dua na Viomgozi wa mkutano wa kampeni baada ya kumalizika kwa mkutano huo.
 Na OthmanMapara.Blog  Zanzinews.Com.
Dr.Augustino Mahiga Mtia nia Iringa Mjini
Jesca Msambatavangu Mtia nia Iringa Mjini
Michael Mlowe Mtiania Iringa mjini
Falesy Kibasa Mtiania Iringa Mjini
Frank Kibiki Mtiania Iringa Mjini
Peter Mwanilwa Mtiania Iringa Mjini
Idani Kiponda Mtiania Iringa Mjini

No comments:

Post a Comment