Sunday, July 19, 2015

Steven Nyerere achukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni na kurudisha leo


wasanii wa bongo movie nchini waliomsapoti steve nyerere kuchukua fomu.



Steve Nyerere akisalimiana na Mpigapicha na mwandishi wa gazeti la habari leo Mroki Mroki.


Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari nje ya ofisi za CCM wilaya Kinondoni kabla ya kuchukua fomu.

akisalimiana na mgombea mwenzake kupitia jimbo la kawe.
akijiandikisha ndani ya ofisi ya katibu wa CCM wilaya ya Kinondoni Athumani Sheshe.
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Athumani Sheshe, akimkabidhi fomu ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, Muigizaji, Steven Mengere (kulia) katika ofisi za chama hizo eneo la Mkwajuni, Jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni mke wa mgombea Dk. Sarah Makene. Picha na Elisa Shunda

Muigizaji, Steven Mengere, akionyesha fomu ya kugombea ubunge jimbo la kinondoni kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni, Athumani Sheshe (kushoto) katika ofisi za chama hicho zilizopo eneo la Mkwajuni, jijini Dar es Salaam jana. Picha na Elisa Shunda

No comments:

Post a Comment