Mgombea huyo pia amesema kuwa shauku yake kubwa ni kuwatumikia Vijana kwa kutatua changamoto ya Ajira na pia ametoa ahadi ya kushirikiana na Vijana bega kwa bega kuleta maendeleo katika Mkoa wa Kagera.
Hili ni toleo maalum la Michuzi Blog kwa ajili ya matukio mbalimbali ya ziada ya kisiasa nchini katika kuendeleza Sera yetu ya Hatuchagui, hatubagui, ataetuzika hatumjui. Karibuni wote
Sunday, July 19, 2015
DADA ANTU MANDOZA ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE WA VITI MAALUM,VIJANA - BUKOBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment