Wednesday, July 22, 2015

Mgombea wao wa Ubunge jimbo la Wawi katika Uchaguzi Mkuu Ujao.

 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Daud Ismail Juma akiomba ridhaa ya wanachama wa Chama cha
Mapinduzi Tawi la Mgogoni kuweza kumchagua na kuwa mgombea wao wa Ubunge jimbo la Wawi katika Uchaguzi Mkuu Ujao.

 Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Daudi Ismail Juma akifuatilia kwa makini maelezo ya mmoja ya mwanachama mwenzake wanayeomba nafasi ya kuteuliwa kuwa mgombea wa ubunge wa jimbo la Wawi kupitia CCM huko katika tawi la Mgogoni ambako walianzia kampeni zao hapo jana.

No comments:

Post a Comment