Saturday, October 10, 2015

MBUNGE WA JIMBO LA ITILIMA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA JIMO LAKE.

Mgombea ubunge CCM jimbo la Itilima Njalu Silanga akizungumza na wananchi wa kata ya Lugulu vijiji vya Sawida , Itubilo na Sokoni jana mkoani Simiyu.


Mgombea ubunge ccm jimbo la Itilima Njalu Silanga akizungumza na wananchi wa kata ya Lugulu vijiji vya Sawida , Itubilo na Sokoni jana mkoani Simiyu.



Wananchi wa kijiji chA sokoni wqkimpokea mgombea ubunge ccm jimbo la Itilima Njalu Silanga  jana alipokuwaakiwasili katika mkutano wa kampeni zake.

No comments:

Post a Comment